AZAM FC YASHINDA 2-0 CHAMAZI, LAKINI YATOLEWA

 


WENYEJI, Azam FC wametupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika licha ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Al Akhdar ya Libya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Mabao ya Azam FC yamefungwa na Idris Mbombo dakika ya 28 na Ededen Essien aliyejifunga dakika ya 59 na kwa matokeo hayo Al Akhdar inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-2 kufuatia kushinda 3-0 kwenye mechi ya kwanza.

Comments

Popular posts from this blog

HAJI MANARA AMPONGEZA ALLY KAMWE KUTEULIWA YANGA

WAWAKILISHI WA KIMATAIFA YANGA KUREJEA DAR