ALICHOSEMA BIGIRIMANA BAADA YA KUJIUNGA NA YANGA

"Sijaja kunyonya timu, bali nimekuja
kufanya kazi, Naamini nitakuwa nimefungua milango wachezaji wengine wengi wanaocheza Europe kuja kucheza Yanga, Nilipata ofa nyingi Ulaya ila baada ya kuziskiliza Plans za Rais Mpya wa Yanga nikaona ni muda sahihi wa kurudi kucheza Mpira Afrika na Klabu hii Kubwa na yenye historia ya kipekee" @gaelbigiofficial 

#returnofchampions💪🥇🏆

Comments

Popular posts from this blog

HAJI MANARA AMPONGEZA ALLY KAMWE KUTEULIWA YANGA

AZAM FC YASHINDA 2-0 CHAMAZI, LAKINI YATOLEWA

WAWAKILISHI WA KIMATAIFA YANGA KUREJEA DAR