BREAKING NEWS : STEPHANE KI AZIZ ATUA YANGA
Klabu ya Yanga SC imemtambulisha Kiungo Mshambuliaji wa Kimataifa wa Burkina Faso 🇧🇫, Stephanie Ki Aziz 🇧🇫 ambaye amesaini Mkataba wa Miaka Miwili wa kuwatumikia Mabingwa hao wa Kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara 🇹🇿.
Ki Aziz mwenye umri wa miaka 26 amesajiliwa na Yanga SC 🇹🇿 kama Mchezaji huru akitokea Klabu ya ya ASEC Mimosas 🇨🇮 ya Ivory Coast 🇨🇮 Kwa dau la Dollar 300,000 za Kimarekani ambazo ni zaidi ya Shilingi Milioni 699 za Kitanzania na huku ikitajwa Kuwa atakuwa akipokea Mshahara wa Shilingi Milioni 22 Kwa Mwezi.
AKIWA na ASEC Mimosas 🇨🇮,Aziz Ki 🇧🇫 alihusika katika magoli 16 ndani ya Klabu hiyo akiwa amefunga magoli 10 na assist sita huku akitengeneza nafasi za kufunga 39 katika Michezo 28 aliyocheza Msimu uliopita.
Comments
Post a Comment