DJIGUI DIARRA KIPA BORA NBC AWARDS
Djigui Diarra, Kipa Namba 1 wa YANGA Sc ameshinda Tuzo ya Kipa Bora wa NBC TFF AWARDS akiwa na Cleansheet nyingi zaidi katika msimu wa LIGI KUU ya NBC 2021/2022
PICHA : Mwakilishi wa Djigui Diarra akipokea Tuzo ya Kipa bora wa NBC msimu wa 2021-2022
Comments
Post a Comment