KIUNGO WA NEW CASTLE UTD ASAINI YANGA
Kiungo wa zamani wa NEWCASTLE UTD...GAEL BIGIRIMANA amejiunga na klabu ya Young Africans Sports Club anakuwa mchezaji wa tano Msimu huu wa kimataifa na kufunga pazia la wa chezaji wa kimataifa kwa klabu ya Yanga.
Mpaka Sasa Wachezaji waliosaini YANGA :
1. Bernard Morrison
2. LAZARUS KAMBOLE
3. LOMALISA MUTAMBALA
4. STEPHANE AZIZI KI
5. GAEL BIGIRIMANA
Comments
Post a Comment