LOMALISA ATAMBULISHWA YANGA

Klabu ya Yanga Sc imekamilisha usajili wa mlinzi wa kushoto Lomalisa Mutambala kwa mkataba wa miaka miwili.

Joyce Lomalisa Mutambala raia wa DR Congo ametokea klabu ya 
Sagrada Esperanca ya Angola. 😊😊🙌

Joyce ni wa kijani na njano sasa 🔰
Joyce Lomalisa Mtambala mwenye umri wa miaka 29, Kutoka CONGO DRC sasa ni mali Halali kabisa ya Wananchi. Kaa tayari kushuhudia makubwa zaidi na zaidi kutoka Timu kubwa ya WANANCHI Young Africans Sports Club. 

Comments

Popular posts from this blog

HAJI MANARA AMPONGEZA ALLY KAMWE KUTEULIWA YANGA

AZAM FC YASHINDA 2-0 CHAMAZI, LAKINI YATOLEWA

WAWAKILISHI WA KIMATAIFA YANGA KUREJEA DAR