MORISSON AWAOMBA RADHI MASHABIKI WA YANGA
Aliyewahi kuwa Mchezaji wa Simba Sc Bernard Morrison ameandika katika ukurasa wake wa Twitter ujumbe wa kuwaomba radhi mashabiki ya YANGA SC akisema hivi "Nilikua Hapa, nitakua Hapa na nitaendelea kuwa Hapa, naomba samahani kwa kuwa niliwaumiza hapo nyuma, ila sasa nitafanya vizuri zaidi na zaidi kuliko mwanzo".
Comments
Post a Comment