Rasmi kiungo mshambuliaji raia wa Burkina faso Stephanie Aziz ki Aagwa na Kuja Yanga

 

Rasmi kiungo mshambuliaji raia wa Burkina faso Stephanie Aziz ki ameagwa leo na timu yake ya Asec Mimosas mara baada ya mchezo wa kumaliza msimu wa 2021-22 Ligi Kuu nchi Ivory Coast

Stephanie Aziz ki ataanza safari usiku huu Kutoka Ivory Coast sambamba na wakala wake kuja nchini 

Comments

Popular posts from this blog

HAJI MANARA AMPONGEZA ALLY KAMWE KUTEULIWA YANGA

AZAM FC YASHINDA 2-0 CHAMAZI, LAKINI YATOLEWA

WAWAKILISHI WA KIMATAIFA YANGA KUREJEA DAR