SENZO AKANUSHA TAARIFA YA MAYELE KUSAJILIWA NA KAIZER CHIEFS

 

Uongozi wa Yanga kupitia kwa Kaimu Mtendaji Mkuu (C.E.Owa Senzo Mbatha amekanusha taarifa inayo sambaa kuwa Mshambuliaji wa klabu hiyo, Fiston Mayele amesajiliwa na klabu ya Kaizer Chiefs kwa mkataba wa miaka mitatu na atatangazwa hivi karibuni.

Amesema Kaizer Chief na Berkane zimeonyesha kumtaka nyota huyo wa kupachika mabao Yanga.

“Lakini kama klabu hatumuuzi,” amesema Senzo.

Comments

Popular posts from this blog

HAJI MANARA AMPONGEZA ALLY KAMWE KUTEULIWA YANGA

AZAM FC YASHINDA 2-0 CHAMAZI, LAKINI YATOLEWA

WAWAKILISHI WA KIMATAIFA YANGA KUREJEA DAR