YANGA WATUA ARUSHA KWA FAINALI YA ASFC KESHO

 


MSHAMBULIAJI tegemeo wa Yanga, Mkongo Fiston Kalala Mayele akiteremka kwenye ndege baada ya kuwasili Arusha kuelekea Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya wa Coastal Union Jumamosi Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.




Comments

Popular posts from this blog

HAJI MANARA AMPONGEZA ALLY KAMWE KUTEULIWA YANGA

AZAM FC YASHINDA 2-0 CHAMAZI, LAKINI YATOLEWA

WAWAKILISHI WA KIMATAIFA YANGA KUREJEA DAR