Posts

Showing posts from July, 2022

TUNA JAMBO LETU

Image

AZIZ KI APEWA MTAALAM YANGA,ZORAN AKABIDHIWA RUNGU SIMBA

Image
  AZIZ KI apewa mtaalam Yanga,Zoran akabidhiwa rungu zito Simba

MUKOKO TONOMBE TENA ATAJWA YANGA

Image
  MUKOKO Tonombe kiungo wa zamani wa Yanga anatajwa kurejea kwa mara nyingine kwenye ardhi ya Tanzania

VIDEO:CHICO USHINDI,YACOUBA OUT YANGA

Image
  MASTAA wawili ndani ya Yanga, Chico Ushindi na Yacouba Songne hawatakuwa kwenye mpango wa kikosi hicho kwa msimu wa 2022/23 ambapo leo Julai 19,2022 Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara ameweza kuzungumzia suala hilo

VIDEO:YANGA YAFUNGUKIA ISHU YA KAMBI

Image
  UONGOZI wa Yanga umebainisha sababu ya kambi kuwekwa Dar pamoja na mipango ya Wiki ya Mwananchi

YANGA YAIFUNIKA VIBAYA SIMBA BONGO

Image
   YANGA yaifunika vibaya Simba Bongo ndani ya Championi Jumatano

WIKI YA MWANANCHI KUANZA AGOSTI MOSI

Image
  WIKI ya Mwananchi itaanza rasmi Agosti Mosi mwaka huu wa 2022 ambapo wanatarajia kucheza mchezo na timu ya kimataifa Uwanja wa Mkapa. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara amebainisha kwamba kambi ya maandalizi kwa msimu wa 2022/23 inatarajiwa kuanza kesho Julai 20,2022 Kigamboni. “Tutafanya kambi yetu Kigamboni ambapo kuna eneo zuri na tulivu kwa ajili ya wachezaji kuweza kupata muda wa kufanya maandalizi ya msimu mpya na ni lazima tufanye maandalizi mazuri.   “Kuhusu Mwananchi Day tutaanza Agosti Mosi na kilele chake itakuwa ni Agosti 6. Itakuwa ni wiki ya kipekee na itakuwa special (maalumu) na bora sana kuliko zote zilizopita. ” Mwisho kabisa tuko tayari kwa maandalizi ya msimu ujao na tunaamini kwamba kila kitu kitakuwa sawa na tutafanya vizuri,” amesema Manara.

ASANTE PAULO GODFREY (BOXA)

Image
Tunashukuru kwa Mchango wako wenye mafanikio kwa Young Africans SC. Tunakutakia kila la kheri uendako.  𝗢𝗻𝗰𝗲 𝗠𝘄𝗮𝗻𝗮𝗻𝗰𝗵𝗶, 𝗔𝗹𝘄𝗮𝘆𝘀 𝗠𝘄𝗮𝗻𝗮𝗻𝗰𝗵𝗶🔰

MVP BANGALA DAKIKA ZAKE BONGO KWENYE LIGI

Image
  YEYE ni mchezaji bora wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22 ambapo kasepa na tuzo tatu mazima msimu huu. Ni tuzo ya kiungo bora baada ya kuwashinda Feisal Salum na Salum Abouhakari,’Sure Boy’ ,mchezaji bora baada ya kuwashinda Henock Inonga wa Simba nan a Fiston Mayele wa Yanga. Ile tuzo yake ya tatu ni kuwa kwenye kikosi bora cha msimu hivyo tupo naye leo kwenye mwendo wa data namna hii:- Dakika zake Ameyeyusha jumla ya dk 2,074 Mechi Ni mechi 23 za ligi amecheza Kadi za njano Ameonyeshwa kadi tatu za njano kwenye mechi za ligi Timu ambazo zilisababisha akaonyeshwa kadi za njano ni KMC,Namungo na Biashara United. Amekosekana katika mechi 7 kati ya 30 Ametoa Pasi ya bao 1 dk 56 mbele ya Dodoma Jiji Mguu kulia pasi 1 ya bao Eneo Nje ya 18

ISHU YA KAMBI YA YANGA MORO IPO HIVI

Image
  UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa suala la kambi kwa maandalizi ya msimu wa 2022/23 lipo mikononi mwa benchi la ufundi. Mpango wa awali wa Yanga kuweka kambi ilikuwa ni nchini Tunisia na imeelezwa kuwa mpango huo umewekwa kando kutokana na muda kutajwa kuwa mdogo. Pia habari zinaeleza kuwa kwa sasa wanatarajia kwenda kuweka kambi pale ilipo milima ya Uluguru,Morogoro lakini haijawa wazi mpaka sasa. Kwa mujibu wa Thabit Kandoro,Mkurugenzi wa Mashindano Yanga amesema kuwa kocha ndiye mwenye maamuzi ya wapi kambi itakuwa kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya. “Suala la wapi Yanga inatakiwa kwenda kufanya kambi kwa maandalizi ya msimu ujao linabaki kuwa jukumu la benchi la ufundi na mwenye uamuzi wa wapi kambi inatakiwa kuwa ni kocha Nasreddine Nabi mwenyewe. “Kama ataamua kwenda nje ya nchi timu itakwenda na kama anataka tubaki Dar au nje ya mkoa hata akisema Morogoro hatuna tatizo hatuna tabia ya kuiga watu fulani kwamba wapo fulani basi nasi tuende hapana,” amesema. Yanga msimu u...

SAUTI:MAYELE KUZINDUA MTINDO MPYA MBELE YA SIMBA

Image
  FISTON Mayele mshambuliaji wa Yanga amebainisha kuwa msimu mpya wa 2022/23 hana mpango wa kuendelea na mtindo wa kutetema na badala yake anakuja na mtindo mpya wa kushangilia na atauzindua kwenye mchezo dhidi ya Simba ambao utakuwa ni wa Ngao ya Jamii

KIUNGO YANGA AINGIA ANGA ZA SINGIDA BIG STARS

Image
  BAADA ya mabosi wa Yanga kumpa mkono wa kwa kheri nyota wao Deus Kaseke Julai 14 inaelezwa kuwa nyota huyo yupo kwenye mazungumzo na Singida Big Stars ili aweze kuwa ndani ya timu hiyo kwa msimu ujao wa 2022/23.  Taarifa rasmi iliyotolewa na Yanga iliweka wazi kwamba; “Umekuwa sehemu kubwa ya mchango wa mafanikio kwenye Klabu yetu, tunakutakia kila la kheri na mafanikio uendako.” Kwa upande wake, Kaseke kupitia ukurasa wake wa Instagram ameishukuru Yanga kwa kipindi chote ambacho ameitumikia. kwa kuandika ujumbe:-“Asante sana Yanga mmekuwa sehemu kubwa saana ya maisha yangu ya mpira, nashukuru kwa sapoti kubwa mlionipa kipindi chote nilichotumikia Timu ya Wananchi, asanteni sana Wananchi. Kaseke ameitumikia klabu hiyo kwa muda wa zaidi ya miaka mitano akishinda mataji mawili ya Ligi Kuu Tanzania Bara.

SAUTI:BEKI MPYA YANGA LOMALISA AFUNGUKA

Image
YANGA imemalizana na beki wa kazi Lomalisa ambaye atakuwa kwenye kikosi hicho kwa msimu wa 2022/23 beki huyo ameweka bayana mipango yake

BM:MASHABIKI MSIWE NA MASHAKA MSIMU UTAKUWA MZURI

Image
KIUNGO mpya wa Yanga, Bernard Morrison amesema kuwa mashabiki wasiwe na mashaka msimu mpya utakuwa ni mzuri kwao na watapambana kufanya vizuri. BM amerejea ndani ya Yanga kwa kupewa dili la miaka miwili baada ya dili lake ndani ya Simba kugota ukingoni. Nyota huyo amewaambia mashabiki wa Yanga kuwa aliwakosea wakati ule alipokuwa ndani ya Simba lakini wamempokea hivyo itakuwa ni kazi kwake kufanya vizuri kwa kushirikiana na wengine. “Nimerudi Yanga kwa mara nyingine tena kuna jambo ambalo nitalifanya na nina amini kwamba tutafanya jambo kubwa kwa kila mmoja hakuna ambacho kinashindikana. “Yale ambayo yalitokea msimu ule uliopita wakati ninaondoka nimeona kwamba mmenipokea vizuri hivyo bado kuna kazi kubwa ya kufanya sisi tuna watu tuna watu,’ amesema. Yanga ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2022/23 na kambi yao wanatarajiwa kuweza kuiweka Morogoro kwa ajili ya kujifua vema zaidi.

KULIA UNAPIGWA,KUSHOTO UNAPIGWA,NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI

Image
KULIA unapigwa,kushoto unapigwa ndani ya Championi Jumamosi

ASANTE BALAMA MAPINDUZI

Image
𝗔𝗦𝗔𝗡𝗧𝗘 𝗕𝗔𝗟𝗔𝗠𝗔 𝗠𝗔𝗣𝗜𝗡𝗗𝗨𝗭𝗜 Tunashukuru kwa Mchango wako wenye mafanikio kwa Young Africans SC. Tunakutakia kila la kheri na mafanikio uendako.  𝗢𝗻𝗰𝗲 𝗠𝘄𝗮𝗻𝗮𝗻𝗰𝗵𝗶, 𝗔𝗹𝘄𝗮𝘆𝘀 𝗠𝘄𝗮𝗻𝗮𝗻𝗰𝗵𝗶🔰

AZIZI KI SASA NI MWANANCHI RASMII

Image

BREAKING NEWS : STEPHANE KI AZIZ ATUA YANGA

Image
Klabu ya Yanga SC imemtambulisha Kiungo Mshambuliaji wa Kimataifa wa Burkina Faso 🇧🇫, Stephanie Ki Aziz 🇧🇫 ambaye amesaini Mkataba wa Miaka Miwili wa kuwatumikia Mabingwa hao wa Kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara 🇹🇿. Ki Aziz mwenye umri wa miaka 26 amesajiliwa na Yanga SC 🇹🇿 kama Mchezaji huru akitokea Klabu ya ya ASEC Mimosas 🇨🇮 ya Ivory Coast 🇨🇮 Kwa dau la Dollar 300,000 za Kimarekani ambazo ni zaidi ya Shilingi Milioni 699 za Kitanzania na huku ikitajwa Kuwa atakuwa akipokea Mshahara wa Shilingi Milioni 22 Kwa Mwezi. AKIWA na ASEC Mimosas 🇨🇮,Aziz Ki 🇧🇫 alihusika katika magoli 16 ndani ya Klabu hiyo akiwa amefunga magoli 10 na assist sita huku akitengeneza nafasi za kufunga 39 katika Michezo 28 aliyocheza Msimu uliopita.

AZIZ KI NI NJANO NA KIJANI

Image
  MUDA wowote kuanzia sasa huenda Yanga ikamtambulisha nyota wao mpya ambaye ni Aziz KI ambaye anacheza ndani ya kikosi cha ASEC Mimosas. Yanga inaendelea kufanya usajili kwa ajili ya maboresho ya kikosi hicho ambacho kitashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga watawapa kile ambacho mashabiki wao wanasubiri utambulisho wa staa huyo raia wa Ivory Coast. Nyota wengine ambao wametambulishwa Yanga ni pamoja na Bernard Morrison, Gael Bigirimana, Lazarous Kambole na Joyce Lomalisa. Ofisa Habari wa Yanga,Haji Manara ameweka wazi kwamba wanahitaji kufanya usajili makini na mzuri

KIUNGO WA KIMATAIFA KUTAMBULISHWA YANGA

Image
  KIUNGO Aziz KI  anatarajiwa kutambulishwa leo Julai 14 na mabosi wa Yanga baada ya kusaini dili la miaka miwili. Nyota huyo alikuwa anacheza ASEC Mimosas mkataba wake umegota ukingoni hivyo atajiunga na Yanga akiwa ni mchezaji huru. Anakwenda kuungana na kiungo Bernard Morrison ambaye aliwahi kucheza naye kwenye mashindano ya kimataifa zama zile Morrison alipokuwa ndani ya Simba. Tayari kwa sasa Morrison naye pia ametambulishwa ndani ya Yanga akiwa ni mchezaji huru baada ya kumaliza kandarasi yake ndani ya Simba. Taarifa zimeeleza kuwa Aziz KI yupo Bongo kwa muda kwa ajili ya kukamilisha dili hilo ambalo limekamilika kwa asilimia kubwa na kilichobaki ni kutamulishwa

KAZI IMEANZA,MAYELE AJA NA STAILI MPYA

Image
  KAZI ndiyo imeanza,Mayele aja na staili mpya asisitiza anaizindua kwa Simba Ngao ya Jamii ndani ya Spoti Xtra Alhamisi

NINJA AONGEZA MKATABA YANGA SC

Image
Klabu ya Young Africans Sports Club Imethibitisha kumuongeza mkataba wa mwaka mmoja mlinzi wao wa kati Mzanzibar Abdallah shaibu ninja.

RAIS ATEA WAJUMBE WA KWANZA WA KAMATI TENDAJI

Image
RAIS mpya wa klabu ya Yanga, Injinia Hersi Ally Said amemteua Gerard Kihanga kuwa Mjumbe mpya wa Kamati ya Utendaji siku mbili tu baada ya Uchaguzi uliomuweka madarakani Jumamosi Jijini Dar es Salaam.

MSUVA AFUNGUKA KUHUSU KUJIUNGA NA YANGA

Image
Simon MSUVA, aliyewah kuwa Mchezaji wa Yanga Sc, amefunguka haya kufuatia na tetesi zake kurejea Jangwani, Msuva amefunguka haya “Mimi sikuondoka vibaya Yanga SC, najua wengi wanatamani nirudi Yanga SC. Sitaki kuwakatisha tamaa ipo siku nitarudi Yanga SC. Lakini kwa sasa bado natamani kucheza nje”~ @msuva27

LOMALISA ATAMBULISHWA YANGA

Image
Klabu ya Yanga Sc imekamilisha usajili wa mlinzi wa kushoto Lomalisa Mutambala kwa mkataba wa miaka miwili. Joyce Lomalisa Mutambala raia wa DR Congo ametokea klabu ya  Sagrada Esperanca ya Angola. 😊😊🙌 Joyce ni wa kijani na njano sasa 🔰 Joyce Lomalisa Mtambala mwenye umri wa miaka 29, Kutoka CONGO DRC sasa ni mali Halali kabisa ya Wananchi. Kaa tayari kushuhudia makubwa zaidi na zaidi kutoka Timu kubwa ya WANANCHI Young Africans Sports Club. 

RAIS MPYA ANATAKA KUWEKA REKODI YA CAF JANGWANI

Image
RAIS wa Klabu ya Yanga,Injinia Hersi Said ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya klabu hiyo ametoa ahadi ya kuweka rekodi ya kuifanya Yanga kuwa timu ya kwanza kubeba ubingwa wa Caf.  Yanga imebeba mataji matatu  msimu wa 2021/22 ikiwa ni Ligi Kuu Bara, Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) na Ngao ya Jamii, inatarajiwa kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu. Hersi amesema kuwa anataka kuona ndani ya kipindi cha uongozi wake analeta Kombe la Caf. Hersi amesema kuwa hilo linawezekana kwake kutokana na mikakati atakayoiweka ikiwemo kusuka kikosi imara cha wachezaji bora wa kiwango kizuri. “Ninataka kuona timu yetu ya Yanga inaweka rekodi ya kwanza ya kubeba ubingwa wa Afrika na hilo linawezekana kwetu. “Nafahamu hivi sasa kila timu itaiangalia Yanga kimataifa kutokana na usajili ambao tumeufanya wa kutikisa Afrika, tukiwa tumetoka kuwatangaza wachezaji  ikiwa ni Morrison (Bernard) na Kambole (Lazarous),” amesema Hersi. Pia baada ya kutangazwa kuwa mshin...

YANGA MPYA TISHIO AFRIKA,STAA MNIGERIA RASMI ATAMBULISHWA SIMBA

Image
 YANGA mpya tishio Afrika,yawa gumzo kila kona makocha,wachambuzi wakubali muziki,Staa Mnigeria rasmi atambulishwa Simba ndani ya Championi Jumatatu.

YANGA YATINGA ROBO FAINALI LIGI YA VIJANA

Image
TIMU ya Yanga imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya ushindi wa 4-3 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Kundi D jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Mabao ya Yanga yamefungwa na Clement Mzinza mawili, Mashoto na Juventus, wakati ya Kagera yamefungwa na Kihulo, Nasri aliyejifunga na Feisal Nassor. Kwa matokeo hayo, Yanga inamaliza nafasi ya kwanza kwenye Kundi lao baada ya kukusanya pointi sita, wakifuatiwa na Geita Gold iliyoizidi wastani wa mabao KMC iliyomaliza nafasi ya tatu, huku Kagera Sugar iliyokusanya pointi mbili ikishika mkia. Mechi nyingine za jana ni za Kundi B zilizomalizika kwa sare zote, Ruvu Shooting 2-2 Dodoma Jiji na Mbeya Kwanza 1-1 Mtibwa Sugar hapo hapo Chamazi. Timu nyingine zilizotinga Robo Fainali ni Simba na Polisi Tanzania kutoka Kundi A, Mtibwa Sugar na Mbeya Kwanza Kundi B na Azam FC na Coastal Union Kundi C.

ALICHOSEMA BIGIRIMANA BAADA YA KUJIUNGA NA YANGA

Image
"Sijaja kunyonya timu, bali nimekuja kufanya kazi, Naamini nitakuwa nimefungua milango wachezaji wengine wengi wanaocheza Europe kuja kucheza Yanga, Nilipata ofa nyingi Ulaya ila baada ya kuziskiliza Plans za Rais Mpya wa Yanga nikaona ni muda sahihi wa kurudi kucheza Mpira Afrika na Klabu hii Kubwa na yenye historia ya kipekee" @gaelbigiofficial  #returnofchampions💪🥇🏆

MORRISON AOMBA YANGA WASAHAU WALIYOPITA JUU YAKE

Image
WINGA Mghana Bernard Morrison ameomba mashabiki wa Yanga wampokee tena na kusahau yaliyopita, kwani naye amejiandaa kuwafanyia mambo mazuri

MORISSON AWAOMBA RADHI MASHABIKI WA YANGA

Image
Aliyewahi kuwa Mchezaji wa Simba Sc Bernard Morrison ameandika katika ukurasa wake wa Twitter ujumbe wa kuwaomba radhi mashabiki ya YANGA SC akisema hivi "Nilikua Hapa, nitakua Hapa na nitaendelea kuwa Hapa, naomba samahani kwa kuwa niliwaumiza hapo nyuma, ila sasa nitafanya vizuri zaidi na zaidi kuliko mwanzo".

ENG HERSI AMTAMBULISHA MCHEZAJI WA ZAMANI WA NEWCASTLE UTD

Image
RAIS mpya wa klabu ya Yanga, Mhandsi Hersi Ally Said amemtambulisha kiungo wa kimataifa wa Burundi, Gael Bigirimana kuwa mchezaji mpya wa tatu wa klabu hiyo kuelekea msimu msimu ujao. Bigirimana anayetokea klabu ya Glentoran ya Ligi Kuu ya Ireland Kaskazini anawafuatia mshambuliaji Mzambia, Lazarous Kambole kutoka Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini na winga Mghana, Bernard Morrison kutoka Simba SC waliotambulishwa awali. Bigirimana mwenye umri wa umri wa miaka 38, mzaliwa wa Bujumbura, aliibukia timu ya vijana ya Coventry City ya England mwaka 2005 kabla ya kupandishwa timu ya wakubwa mwaka 2011 ambako alicheza mechi 26. Mwak 2012 akahamia Newcastle United ambako baada ya kufunga bao moja katika mechi 13, akatolewa kwa mkopo Rangers ya Scotland mwaka 2015 na msimu wa 2015–2016 akarejea Coventry City kwa mkopo ambako mwisho wa msimu alinunuliwa moja kwa moja na kucheza jumla ya mechi 33 hadi 2017 alipohamia Motherwell ya...

ARAFAT MAKAMU WA RAIS YANGA

Image
MSHINDI wa nafasi ya MAKAMU wa Rais wa klabu ya Yanga ni Arafat Haji baada ya kupata kura 545 dhidi ya kura 234 mpinzani wake Suma Mwaitenda katika uchaguzi uliofanyika jana ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Yanga, Malangwe Ally Mchungahela, waliopiga kura walikuwa 785 na kura zilizoharibika zilikuwa ni sita (6).  Wajumbe watano waliochaguliwa kuunda Kamati ya Utendaji kati ya 17 waliogombea ni pamoja na Alexander Ngai, Munir Said, Rodgers Gumbo, Seif Gulamali na Everlist Yanga Makaga. Mapema uchaguzi huo ulipoanza tu, Mhandisi Hersi Ally Said aliitishwa bila kupingwa na wanachama kuwa Rais wa klabu ya Yanga. Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Yanga, Wakili Malangwe Ally Mchungahela alitumia kanuni ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) inayoelekeza mgombea wa Urais anapokuwa peke yake apitishiwe au kupingwa bila kupigiwa kura

ENG HERSI SAID ASHINDA KWA ASILIMIA 100

Image
Mhandisi. HERSI ALLY SAID ASHINDA KWA KISHINDO URAIS WA YOUNG AFRICANS SC🔰 Wajumbe wa Mkutano Mkuu wamempitisha Mhandisi. Hersi Ally Said ambaye alikuwa Mgombea pekee kwa KURA za NDIO kuwa Rais mpya wa Klabu ya Young Africans SC.  #extraordinarygeneralmeeting

KIUNGO WA NEW CASTLE UTD ASAINI YANGA

Image
Kiungo wa zamani wa NEWCASTLE UTD...GAEL BIGIRIMANA amejiunga na klabu ya Young Africans Sports Club anakuwa mchezaji wa tano Msimu huu wa kimataifa na kufunga pazia la wa chezaji wa kimataifa kwa klabu ya Yanga. Mpaka Sasa Wachezaji waliosaini YANGA : 1. Bernard Morrison 2. LAZARUS KAMBOLE 3. LOMALISA MUTAMBALA 4. STEPHANE AZIZI KI 5. GAEL BIGIRIMANA

NABI: KOCHA BORA NBC PREMIERE LEAGUE

Image
Kocha Mkuu wa YANGA Sc Naseerdeen Nabi (Professa) ameshinda Tuzo ya kuwa Kocha Bora katika ligi ya NBC msimu wa 2021-2022, Tuzo zilizotolewa hapo jana tareh 7 July. 

DJIGUI DIARRA KIPA BORA NBC AWARDS

Image
Djigui Diarra, Kipa Namba 1 wa YANGA Sc ameshinda Tuzo ya Kipa Bora wa NBC TFF AWARDS akiwa na Cleansheet nyingi zaidi katika msimu wa LIGI KUU ya NBC 2021/2022 PICHA : Mwakilishi wa Djigui Diarra akipokea Tuzo ya Kipa bora wa NBC msimu wa 2021-2022

YANIC BANGALA MCHEZAJI BORA WA NBC

Image
Usiku wa tareh 7 July 2022, umekua ni usiku wa Aina yake ambao Tuzo mbalimbal zilitolewa katika NBC TFF AWARDS ambapo Beki wa YANGA Sc YANIC BANGALA ameshinda Nafasi ya pili katika Tuzo ya Mchezaji bora wa LIGI KUU ya NBC 2021/2022. Nafasi ya Kwanza Ikishikwa na Mchezaji wa Simba Sc ENOCK INONGA. 

PICHA 10: USIKU WA TUZO ZA NBC TFF AWARDS 2022

Image
Habari MWANANCHI, Tunakusogezea picha mbalimbali katika Usiku wa Tuzo za NBC TFF AWARDS 2022.